Tesistosteroni ni aina ya homoni yenye maana sana katika maisha ya mwanamume katika kukua kwa pumbu pamoja na kibofu (prostate). Tofauti ya homoni ya tesistosteroni ni homoni ya estrogeni ambayo inapatikana haswa kwa wamama.
Homoni hii pia husaidia katika kubalehe kwa wavulana ili wawe wanaume katika ukuzi wa mwili, kuwanda kwa mabega, kukua ndevu, kuwa na sauti nzito na pia kuweza kuzaa wanapojamiana na wanawake.
Homoni ya tesistosteroni hupatikana kwa watu wote, waume kwa wake. Hata hivyo kiwango ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa