Mlozi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake hayana jina, lakini lozi au badamu ni jina la kokwa ya tunda. Asili ya mti huu ni Mashariki ya Kati na Asia ya Kusini, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa