Tetanasi, iitwayo pia pepopunda, ni maambukizi yaliyo na sifa bainifu ya mvutano wa misuli. Katika aina ya kawaida sana mivutano huanza kwenye taya na kisha kuenea kwenye sehemu nyingine ya mwili. Mivutano hii kwa kawaida hudumu kwa muda wa dakika chache kila wakati na hutokea mara kwa mara kwa wiki tatu hadi nne. Mivutano inaweza kuwa kali sana ambapo kuvunjika kwa mifupa kunaweza kutokea.Dalili nyingine zinaweza kujumuisha: joto jingi, maumivu ya kichwa, tatizo la kumeza, shinikizo la damu, na ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa