Jipu (kwa Kiingereza: 'boil' au 'furuncle', yaani 'mwizi mdogo', kutoka neno la Kilatini 'fur', mwizi) ni tatizo la ngozi linalotokana na maambukizi ya kina ya folikuliti au maambukizi ya folikoli za nywele za jasho; mara nyingi unasababishwa na bakteria Stafilokokasi aureasi, ambayo husababisha kuvimba kwa eneo chungu lililo juu ya ngozi kutokana na mkusanyiko wa usaha na tishu mfu.
Majipu yakijikusanya huitwa kimeta.
Majipu ni vijivimbe vyekundu, ambavyo hujaa na usaha ulioko karibu na vinyweleo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa