Mafua ya kawaida (pia mafua ya kuku au mafua tu; kwa Kiingereza: nasopharyngitis, rhinopharyngitis), ni ugonjwa wa kuambukizwa unaoathiri sehemu ya juu ya mfumo wa upumuaji, hasa pua na shingo.
Dalili ni pamoja na kikohozi, utoaji kamasi puani (rhinorrhea), na homa. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya siku saba hadi kumi, ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi wiki tatu.
Mafua ya kawaida husababishwa na virusi mbalimbali; zaidi ya mia mbili zinajulikana kusababisha mafua ya kawaida. Virusi ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa