Tetekuwanga, tetewanga au tetemaji (kwa Kiingereza chickenpox, kitaalamu varicella) ni ugonjwa wa kuambukiza sana unaosababishwa na maambukizo ya kimsingi ya virusi vya varisela zosta (VZV). Kwa kawaida huanza kwa vipele vya lengelenge kwenye ngozi, hasa mwilini na kichwani wala si pembeni, na hugeuka kuwa makovu mabichi, yanayowasha, ambayo aghalabu hupona bila kuacha mabaka.
Tetekuwanga huenea kwa urahisi kwa njia ya ukohozi au kwenda chafya au kuingiliana moja kwa moja na watu wanaougua walio ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa