Ndui (kwa Kiingereza: smallpox) ilikuwa ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na aina mbili za virusi: Variola major na Variola minor.
Ulikuwa unaleta kifo cha waliopatwa kwa asilimia 30-35, lakini zaidi kati ya watoto.
Walionusurika wengi waliachwa na makovu ya kudumu hasa katika uso.
Inakadiriwa ulikuwepo tangu miaka ya 10000 KK hadi mwaka 1977.
Chanzo chake hakijulikani lakini kuna dalili ya kwamba ilitokea mapema sana katika Misri ya Kale. Pengine farao Ramses V alikuwa mgonjwa wa kwanza anayejulikana ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa