Hepatitisi A (aina ya homanyongo) ni ugonjwa wa kuambukiza mkali wa ini unaosababishwa na virusi vya homa ya nyongo A (HAV), ambayo sana sana husambazwa kwa njia ya mdomo-kinyesi kupitia chakula au maji ya kunywa yaliyochafuliwa kwa virusi hivi. Kila mwaka, karibu watu milioni 10 duniani kote huambukizwa virusi hivi. Muda uliopo kati ya maambukizi na kuonekana kwa dalili, (kipindi cha kupevuka), ni kati ya wiki mbili na sita na muda wa wastani wa kupevuka ni siku 28. Katika nchi zinazoendelea, ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa