Homa ya kuvuja damu (kwa Kiingereza: Marburg hemorrhagic fever au Marbur virus disease) ni ugonjwa mkali wa wanadamu na wanyama kama vile tumbili, nyani, sokwe, ambao husababishwa na virusi vya Marburg vya aina mbili.
Ugonjwa huo husababishwa na virusi vinavyohusianishwa na Ebola na hata dalili zake hazina tofauti kubwa na ugonjwa wa Ebola.
Ugonjwa huo huanza kwa ghafla, na homa kubwa, maumivu ya kichwa, uchovu au kuhisi vibaya mwili mzima, maumivu ya misuli ni kipengele cha kawaida. Kuharisha kwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa