Kichaa cha mbwa (kwa Kiingereza: rabies) ni ugonjwa hatari unaoathiri ubongo na kwa kawaida unamwua aliyeambukizwa nao.
Inatokana na ambukizo la virusi vinavyosababisha uvimbe wa ubongo (encephalytis). Virusi hivi vinaweza kutokea kwa binadamu na wanyama wa aina za mamalia na ndege lakini ni mara chache kati ya wanyama wala majani. Mnyama mgugunaji ni nadra sana kuambukizwa na kichaa cha mbwa.
Jina la ugonjwa linatokana na hali ya mbwa wanaoambukizwa na kuwa hatari kwa binadamu kutokana na maisha ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa