Uziwi ni hali ya mtu ambaye hawezi kusikia kabisa, au hawezi kusikia vizuri. Uziwi pia hujulikana kama 'kupoteza usikivu'.
Kulikuwa na watu wengi maarufu ambao walikuwa viziwi, kama vile Ludwig van Beethoven na Helen Keller.
Mtu anahesabiwa kuwa kiziwi ikiwa hawezi kusikia sauti kama mtu mwenye uwezo wa kusikia kawaida. Watu ambao hawawezi kusikia sauti yoyote ni viziwi. Watu ambao hawezi kusikia vizuri pia ni viziwi .
Watu ambao hawawezi kusikia na kuelewa maneno vizuri ni 'wagumu wa kusikia'.
Matatizo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa