Mapigo yasiyo ya kawaida ya moyo (AF au A-fib) ni mapigo yasiyo ya kawaida ya moyo ambayo hudhihirika kupitia mapigo ya kasi na yasiyoambatana. Mara nyingi, hali hii huanza kama vipindi vifupi vya mapigo yasiyo ya kawaida ambavyo huwa virefu zaidi na pengine huimarika baada ya muda. Idadi kubwa ya vipindi hivi huwa bila dalili. Mara kwa mara, hali zifuatazo zinaweza kuwepo: mipapatiko ya moyo, kuzirai, kupungukiwa na pumzi, au maumivu ya kifua . Ugonjwa huu huongeza hatari ya kushindwa kwa moyo, ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa