Kratom (jina la Kilatini: Mitragyna speciosa) ni mti wa kijani wa kitropiki katika familia ya kahawa (Rubiaceae) wenye asili ya kusini mashariki mwa Asia. Mti huu unapatikana kwa wingi nchi za Thailand, Indonesia, Malaysia, Myanmar, na Papua New Guinea ambako umetumika kama dawa ya asili tangu karne ya 19.
Hadi mwaka wa 2018, hakuna majaribio ya kisayansi yaliyofanywa ili kuelewa madhara ya kratom kwa afya. Baadhi ya watu hutumia mti huu kama dawa ya kupunguza maumivu ya muda mrefu, kwa kutibu madhara ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa