Mifuu (pia mifuru au mifudu) ni miti ya jenasi Vitex katika familia) Lamiaceae. Spishi nyingine huitwa mbwanga, mgege, msasati, mtalali au mvumba.
Jenasi hiyo ina spishi takriban 250 na kati ya hizo kadhaa zinatokea Afrika ya Mashariki.
Matunda yake yalikayo huitwa mafuu na yana rangi ya nyeusi, zambarau au nyekundu.
Vitex amaniensis, Mfuu wa Amani
Vitex doniana. Mfuu Maplamu-meusi
Vitex ferruginea, Mfuu-mchanga, mgege au mtalali
Vitex fischeri, Mfuu wa Fischer
Vitex keniensis, Mfuu wa Kenya
Vitex ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa