Mzumai (Chrysopogon zizanioides) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Andropogoneae. Kwa asili spishi hii inatoka Uhindi lakini siku hizi hupandwa sana katika ukanda wa tropiki. Nchi kuu za uzalishaji ni Haiti, Uhindi, Java na Reunion.
Mzumai hupandwa sana kwa kuzuia mmomonyoko kwa sababu mizizi yake inapenya ardhi hadi m 3-4. Majani yanaweza kutumika kwa kulisha wanyama na kwa kutengeneza kamba, mikeka, vikapu n.k.. Mafuta yanasindikwa kutoka mizizi ambayo hutumika katika utamaradi, sabuni ya kiayurveda, ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa