Mwaloni (kwa Kiingereza: oak) ni mti wa jamii ya Fagaceae.
Majani yake yana rangi ya kijani iliyokolea na hayapuputiki wakati wa kiangazi.
Kuna spishi 600 hivi za jenasi hiyo, nyingi katika Amerika Kaskazini.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa