Kwa kundinyota yenye jina hili angalia Saratani (kundinyota)
Saratani (kutoka Kiarabu سرطان, sartan) au kansa (kutoka Kiingereza cancer) ni aina za ugonjwa unaotokana na seli za mwili zinazoanza kujigawa yaani kukua bila utaratibu na bila mwisho.
Jina la saratani linatokana na neno la Kiarabu sartan linalomaanisha pia 'kaa'. Sababu yake ni ya kwamba mtaalamu Galenos wa Ugiriki wa Kale aliona uvimbe uliofanana na miguu ya kaa. Jina hili lilitafsiriwa baadaye kwa lugha nyingi.
Hata kwa Kiingereza neno ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa