Jongo (pia podagra inapohusisha kidole gumba cha mguu; ing. gout) huwa hali ya kimatibabu. Kwa kawaida, jongo hutambulika kwa maambukizi makali ya mara kwa mara ya athritisi yenye inflamesheni—ambayo ni kufura kwa jointiiliyo nyekundu, laini, na chungu. jointi ya metatasu na ya mifupa ya vidole vya mguu katika mzizi wa mfupa wa kidole gumba cha mguu na metatasu ya kwanza kidole kikubwa cha mguu ndiyo inayoathirika mara nyingi zaidi. Hali hii huchangia takriban asilimia 50 ya maambukizi yote. Jongo ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa