Uvimbe wa fibrosisi (CF), hali ambayo pia hujulikana kama miukovisidosisi, ni ugonjwa wa kijenetiki ambao hasa huathiri mapafu na pia kongosho, ini, figo na matumbo. Matatizo ya muda mrefu hujumuisha ugumu wa kupumua na kutoa kikohozi kufuatia marejeo ya maambukizi ya mapafu. Dalili nyingine hujumuisha maambukizi ya sinasi, ukuaji duni, kinyesi kilicho na mafuta, upanuziviungo wa vidole vya mikono na miguu, na ugumba katika wanaume na kadhalika. Watu tofauti huenda wakawa na viwango tofauti vya dalili. ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa