Kuvuja damu baada ya kuzaa au kutokwa na damu baada ya kuzaa (PPH) mara nyingi hufasiliwa kama kupoteza zaidi ya mililita 500 au 1,000 za damu ndani ya saa 24 za baada ya kuzaa. Baadhi ya watu wameongeza hoja kwamba lazima mtu awe na dalili za upungufu wa kiwango cha damu ili hali hii itambulike kuwepo. Ishara na dalili mwanzoni zinaweza kujumuisha: ongezeko la mapigo ya moyo, kuhisi kizunguzungu baada ya kusimama na ongezeko la kiwango cha pumzi. Kwa sababu kiwango kikubwa zaidi cha damu hupotea, ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa