Mmenyuko wa mzio (kwa Kiingereza anaphylaxis, kutoka maneno ya Kigiriki ἀνά, ana, dhidi, na φύλαξις, phylaxis, ulinzi) ni ugonjwa mkali wa mzio (kwa Kiingereza allergy) ambao huanza ghafla na huweza kusababisha kifo. Mmenyuko mkali ya mzio kawaida una dalili kadhaa, zikiwa ni pamoja na upele wa kuwasha, kuvimba koo na shinikizo la chini la damu. Chanzo cha kawaida ni kuumwa na wadudu, kumeza vyakula na dawa.
Mmenyuko mkali wa mzio hutokana na kutolewa kwa protini kutoka kwa aina ya baadhi seli nyeupe ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa