Homa ni hali ya wanyama kuwa na halijoto ya mwili juu ya halijoto ya kawaida (37 °C katika mamalia).
Halijoto ya kawaida ya mwanadamu ni kati ya 36.6 na 37 sentigredi za Selsiasi ikipimwa chini ya ulimi.
Mara nyingi homa husababishwa na ugonjwa; ni dalili ya kwamba kingamwili inapambana na vijidudu au vijimea vinavyosababisha ugonjwa fulani.
Homa si ugonjwa wenyewe bali dalili ya magonjwa mbalimbali. Katika lugha ya kila siku malaria mara nyingi huitwa 'homa' ingawa kupanda kwa halijoto ya mwili ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa