Mtoto wa jicho (kwa Kiingereza: cataract) ni ugonjwa ambao hutokea pale ambapo lenzi ya jicho inakuwa na hali ya uwingu. Mtoto wa jicho inaweza kusababisha uoni mfupi (myopia), ambayo inamaanisha huwezi kuona vitu mbali lakini unaweza kuona vitu karibu.
Ikiwa haitatibiwa kwa upasuaji, baadhi ya aina za mtoto wa jicho zinaweza kusababisha upofu (maana yake huwezi kuona kitu chochote). Ugonjwa huu unaweza kutibika kwa kubadilisha lenzi asili na kuweka nyingine ya plastiki kwa njia ya upasuaji mdogo. ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa