Trakoma (inaitwa pia: vikope, Egyptian ophthalmia) ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na bakteria Klamidia trakomati. Maambukizi husababisha kukwaruza kwa sehemu ya ndani ya vigubiko vya macho. Huo mkwaruzo unaweza kusababisha maumivu ya macho, kuharibika kwa sehemu ya nje ya macho au konea, na hatimaye upofu.
Bakteria inayosababisha ugonjwa unaweza kusambazwa kwa mgusano wa macho au mapua wa moja kwa moja au usiokuwa wa moja kwa moja na mtu aliyeambukizwa. Mgusano wa macho au mapua usiokuwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa