Kifaduro (au laringotrakeobronkitisi) ni hali ya upumuaji ambao husababishwa na maambukizi ya virusi kwa njia ya juu ya hewa. Maambukizi husababisha uvimbe ndani ya koo, ambao huharibu upumuaji wa kawaida na kuleta dalili za hali ya juu ya kikohozi cha kubweka, strida, na sauti iliyokauka. Inaweza kuleta dalili chache, kiasi, au kali zinazozidi zaidi usiku. Mara nyingi hutibiwa kwa dozi moja ya steroidi za kunywa; wakati mwingine epinephrini hutumika zaidi kwa visa kali. Ni nadra kulazwa hospitalini. ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa