Mdengu (Lens culinaris) ni jina la mmea katika familia Fabaceae unaozaa dengu (pia adesi), mbegu zake ambazo zimo mbili mbili ndani ya makaka. Jina la jenasi linatoka kwa umbo wa mbegu unaofanana na lenzi mbinuko.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa