Makala hii inataja Mtama kama mmea. Kwa makala ya Mtama kata ya Wilaya ya Lindi Vijijini, tafadhali fungua hapa.
Mtama (pia: jaddi; Sorghum bicolor) ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Asili yake iko katika Afrika ya Mashariki lakini kilimo chake kimeenea hadi Ulaya ya Kusini, Amerika ya Kati na Asia ya Kusini.
Mbegu za mtama ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika Afrika hasa. Kuna pia majaribio ya kuitumia kama zao la nishati ambako mmea wote huchachuliwa kwa kutengeneza ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa