Selulitisi (kutoka Kilatini na Kiingereza: 'cellulitis') ni ugonjwa unaotokana na bakteria unaoathiri undani wa ngozi.
Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. Mgonjwa anaweza kuwa na homa na kujisikia mchovu.Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili.
Kati ya sababu zinazofanya mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa