Mpingo (Dalbergia melanoxylon) ni mti mdogo wenye ubao ulio mweusi kwa ndani ambao hutumika kutengeneza samani, sanamu na vipande vya ala za muziki kama nzumari, filimbi za Wazungu na mirija ya bagpipes. Ubao pia huitwa mpingo. Mara nyingi huitwa abunusi, lakini jina hili si sahihi; hii ni ubao wa mgiriti au mgombe (Diospyros mespiliformis).
Ubao huo ni mzito na mgumu sana upande wa ndani na huo ubao mweusi umetafutwa tangu siku za kale. Ubao wa nje una rangi kahawia-njano ni nyepesi na laini hauna ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa