Mharagwe-viazi (Apios americana) ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa maharagwe-viazi. Asili ya mmea huu ni Amerika ya Kaskazini ambapo Waindio amekula viazi vyake kama chakula kikuu. Hawakukuza viazi hivi kama aina ya kilimo lakini walivipanda karibu na makazi yao. Siku hizi mharagwe-viazi hukuzwa huko Japani hasa na pia katika Korea ya Kusini. Maharagwe yake huliwa pia lakini siyo kama viazi.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa