Mparachichi au mwembe-mafuta (Kiing. avocado, Kilatini Persea americana) ni mti wenye majani na matunda makubwa ambao hupandwa mahali pote pa tropiki na nusutropiki. Huitwa mpea pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya jenasi Pyrus. Matunda yake (maparachichi au maembe mafuta) yana mafuta mengi.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa