Mlakasa au majani ya mwaka (Ipomoea pes-caprae) ni mmea wa familia Convolvulaceae unaokua kwa pwani za ukanda wa tropiki. Majani hutumika kama dawa tepetepe ya kubandika dhidi ya shida za ngozi k.m. macheraka, majipu, virugu, marugurugu na vidonda.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa