Mwingasiafu (Canavalia ensiformis) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Huitwa mpupu pia lakini tafadhali jina hili litengewe Mucuna pruriens (mpupu). Spishi hii hufananishwa mara nyingi na mbwanda (C. gladiata) lakini maua ni pinki na makaka ni marefu sana (hadi sm 36). Makaka na mbegu huitwa bwanda kama zile za C. gladiata.
Mwingasiafu hukuzwa katika Afrika ya Mashariki kama zao la kufunikia na matandazo kijani. Makaka mabichi na mbegu mbichi zinaweza kuliwa lakini ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa