Mwaramoni ni mti mikubwa wa jenasi Castanea katika familia Fagaceae.
Matunda, yanayoitwa maramoni, yana rangi ya kahawia nyekundu au aramoni na hugubikwa na gamba lenye miiba mingi (kupula kwa kisayansi). Maramoni hupikwa au huchomwa kabla kokwa yake haijaliwa.
Castanea crenata, Mwaramoni wa Japani (Japanese chestnut)
Castanea dentata, Mwaramoni wa Marekani (American chestnut)
Castanea henryi, Mwaramoni wa Henry (Chinese chinkapin)
Castanea mollissima, Mwaramoni wa Uchina (Chinese chestnut)
Castanea ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa