Mfonio ni aina ya nafaka yenye punje ndogo sana (fonio) unaopandwa katika sehemu za Afrika ya Magharibi. Kuna spishi mbili: mfonio mweupe na mfonio mweusi. Nafaka hii hupendwa katika maeneo makavu yenye mvua isiyotabirika, kwa sababu inakomaa ndani ya wiki 6-8 na fonio ni rutubishi sana.
Digitaria exilis, Mfonio mweupe (White fonio)
Digitaria iburua, Mfonio mweusi (Black fonio)Kuna spishi nyingine huko Uhindi iliyo na mnasaba na mfonio ambayo inaitwa raishan (D. cruciata var. esculenta).
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa