Mikuyu ni miti ya jenasi Ficus. Kwa kawaida hii ni miti mikubwa. Maua, na kwa hivyo matunda pia, huota kutoka shina na matawi makubwa. Matunda huitwa makuyu. Mkuyu unaopandwa na ambao matunda yake huliwa sana, una jina lake: mtini, na matunda yake matini. Kuna kadiri ya spishi 800 za mikuyu.
Makuyu siyo matunda kwa kweli. Tabaka la nje ni sehemu ya tawi iliyojifunga katika tufe na huitwa sikonio (syconium). Mkabala na kikonyo kuna tundu dogo liitwalo ostioli. Maua yapo upande wa ndani wa ukuta wa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa